Usichukulie kawaida ishala 6 za ugonjwa wa macho 2021-2022 dalili hizi zinaweza kua mwanzo wa upofu, upofu sio mpaka uzulike na kitu unawezakukupata hata kwa kupuuza dalilihizi.
- Macho kuwasha. Machokuwasha huanza talatibu unawezakuisi kamajicholako haliko sawa kwakuhisi muasho kwambali au maumivu kidogo hii hupelekea watuwengi kupikisha au kupikicha macho yao kwamda mrefu hii hupelekea macho kuamekundu au kuwasha maradufu ukiwa da dalilihizi usizipuuzie hatakidogo machonikiungo mhimsana ukikikosa kitakupelekea hata kushuka kiuchumi.
2. Macho kutokwa machozi. Machozi nikimiminika ambacho humtokamtu kupitia macho hii hutokeamaladufu kwamtu ambae anamawazomengi,kazulika kwamfano kupigwa au uunguzwa na kitu chenyejoto kali.
3. Macho kuogopa mwanga. Hii hutokea pale mtuanapokumbanana mwanga namacho yasimudu kuangalia mwangahuo, machoyanaweza kufumba au kutizama pande nyingine: hapondipotuna tambua kua macho yameogopa mwanga kwakushindwa kukabiliananao.
Muhim;macho kuogopamwanga siompaka yakumbane na mwanga mkali hiihutokea hata kwa mwangawajua mtukushindwa kutizama mwanga mkali wajua hasa mchana.
4. Kufikicha macho/kupikicha macho. Mtukuhisi kama machoyana muasho au maumivu nakukaa akiyapikicha/kuyafikicha kwamdamrefu kalili moja huzaadalili Zaidi ya moja mfano:mtukufikisha/kupikicha macho macho yataanza kutokwamachozi au macho kua mekundu kwa kiasi Fulani.
5. Jicho au macho kua mekundu. Hii hutokea malanyingi kwamtu akitizamakitu kwa mdamlefu kama tv, sim au pc yaani komputa hihi hupelekea baazi ya watuwengi kua na macho mekundu au mtuanapo tokewa na dalili mojawapo kama macho kuwasha palemtu anapoanza kupikicha machoyake ndipohupelekea mtu kua na macho mekundu.
6. Kichwa kuuma. Pindi utakaposikia au kuhisi maumivukichwani muone dakitali au mtalam kwajili ya vipimo, kichwa nikiungo muhimsana kwenyemwili wa binadam nakicha imekua nidalili ya magonjwa mengisana kama maralia/malelia namengineo mengi hivyo ukiisi kichwakuuma siotu tatizola macho.
Muhim: bofyalinkihapo chini au maneno ya bluu ilikukabiliana kutatua matatizo mengi ya macho, pia unaweza kupatamatatizo ya macho nakupelekea upofu bila kuhisi daliliyoyote.macho hufanya wengi wasitimize ndotozao nakushukakiuchuna, ukosefuwamacho unaweza kukusogeza kwenyeumaskini bilakutalajia.
Jinsi ya kutatua matatizo ya mach
ushauli, usipende kupuuzia maboyanayojitokeza hatakama nimambomadogo ukihisi dalili zozote mbaya kwenye mwiliwako au ukiwa na tatizo la kiafya jalibu kufatilia postzetu za tiba kwa umakinisana hapounaweza kuondokana na matatizomengi ya kiafya.
muhim,uhisipodalilihizi usianzekutumia miwani bila ushauli wa dactari utakuaunajiongezea mazala nasio faida wala tiba.
epuka matumizi mabaya ya miwani au vitu vya kuvaa machoni |
muhim comment tiba yeyote asilia unayo faham hapochini ili kuwasaidia ndugu na jamaa wote wanao kuzunguka, duniani tunaishi kwa kusaidiana kwa mambomengi itakua vyema sana kwa kuacha comment yako ili kuwanufaisha wengine.
mungupia atakusaidia katika mamboyako pia utajifunza kupitia comment za wayu nazitakusaidia sana katika maisha yako comment yako nimuhinsana kwawengine.
0 Maoni