Usichukulie kawaida ishala 6 za ugonjwa wa macho 2021-2022 dalili hizi zinaweza kua mwanzo wa upofu, upofu sio mpaka uzulike na kitu unawezakukupata hata kwa kupuuza dalilihizi.
- Macho kuwasha. Machokuwasha huanza talatibu unawezakuisi kamajicholako haliko sawa kwakuhisi muasho kwambali au maumivu kidogo hii hupelekea watuwengi kupikisha au kupikicha macho yao kwamda mrefu hii hupelekea macho kuamekundu au kuwasha maradufu ukiwa da dalilihizi usizipuuzie hatakidogo machonikiungo mhimsana ukikikosa kitakupelekea hata kushuka kiuchumi.
2. Macho kutokwa machozi. Machozi nikimiminika ambacho humtokamtu kupitia macho hii hutokeamaladufu kwamtu ambae anamawazomengi,kazulika kwamfano kupigwa au uunguzwa na kitu chenyejoto kali.
3. Macho kuogopa mwanga. Hii hutokea pale mtuanapokumbanana mwanga namacho yasimudu kuangalia mwangahuo, machoyanaweza kufumba au kutizama pande nyingine: hapondipotuna tambua kua macho yameogopa mwanga kwakushindwa kukabiliananao.
Muhim;macho kuogopamwanga siompaka yakumbane na mwanga mkali hiihutokea hata kwa mwangawajua mtukushindwa kutizama mwanga mkali wajua hasa mchana.
4. Kufikicha macho/kupikicha macho. Mtukuhisi kama machoyana muasho au maumivu nakukaa akiyapikicha/kuyafikicha kwamdamrefu kalili moja huzaadalili Zaidi ya moja mfano:mtukufikisha/kupikicha macho macho yataanza kutokwamachozi au macho kua mekundu kwa kiasi Fulani.
5. Jicho au macho kua mekundu. Hii hutokea malanyingi kwamtu akitizamakitu kwa mdamlefu kama tv, sim au pc yaani komputa hihi hupelekea baazi ya watuwengi kua na macho mekundu au mtuanapo tokewa na dalili mojawapo kama macho kuwasha palemtu anapoanza kupikicha machoyake ndipohupelekea mtu kua na macho mekundu.
6. Kichwa kuuma. Pindi utakaposikia au kuhisi maumivukichwani muone dakitali au mtalam kwajili ya vipimo, kichwa nikiungo muhimsana kwenyemwili wa binadam nakicha imekua nidalili ya magonjwa mengisana kama maralia/malelia namengineo mengi hivyo ukiisi kichwakuuma siotu tatizola macho.
Muhim: bofyalinkihapo chini au maneno ya bluu ilikukabiliana kutatua matatizo mengi ya macho, pia unaweza kupatamatatizo ya macho nakupelekea upofu bila kuhisi daliliyoyote.macho hufanya wengi wasitimize ndotozao nakushukakiuchuna, ukosefuwamacho unaweza kukusogeza kwenyeumaskini bilakutalajia.
Jinsi ya kutatua matatizo ya mach
ushauli, usipende kupuuzia maboyanayojitokeza hatakama nimambomadogo ukihisi dalili zozote mbaya kwenye mwiliwako au ukiwa na tatizo la kiafya jalibu kufatilia postzetu za tiba kwa umakinisana hapounaweza kuondokana na matatizomengi ya kiafya.
muhim,uhisipodalilihizi usianzekutumia miwani bila ushauli wa dactari utakuaunajiongezea mazala nasio faida wala tiba.
epuka matumizi mabaya ya miwani au vitu vya kuvaa machoni
Faham jinsi ya kutatua/kuepuka matatizo ya macho kwakutumiaa matunda na mboga za majani kunasili kubwasana kwenyematunda na mbogatunazotumia kilasiku pasipo kufaham. Machonikiungo muhimsana katikamwili wa binadam chukuahatua mapema. kiungo muhim ambacho ukikikosa unaweza usitimize malengoyako. Njiabora za kutatua matatizo sugu ya macho birakutumia kemikari Njiahiipia itakuongezea uwezo mzuliwa kufikili pamoja nakuupa mwili nguvu nitakufundisha hatuakwa hatua. Chakufanya andaa matunda yako yizuli yalio olozeshwa hapo chini, matundayanayo tibu macho kwa asilimia mia nimatunda yenye umbo kama jicho kwandani unaweza kutumia hatakabla ya kuugua ili kujikinga nakujiepusha namatatizo haya
v Mahitaji · Kaloti · Nyanya · Papai/papaya · Mawese pendelea kutumia mafuta ya mawese.
1. maandalizi chukua chombokisafi kisha chukua kaloti mbili au mojakubwa kihaigawe katika vipande vidogovidogo piachukua nyanya nauigawe hivyohivyo kisha changanya na kaloti nimatundayenye ngalama ndogo sana tengeneza vizuli kwakuzingatia usafi ilidawa ifanyekazi vizuli kwenyemfumo wa kachumali ilaikiwezekana changanya na papai/papaya, ilakama unabrenda changanya vyote kisha usage.
2. matumizi/jinsi ya kutumia utatumi matunda haya au juice hio asubuhi na jioni hapoutaondokana na matatizomengi ya macho kama macho kutoamachozi,macho kuwasha,kufikicha macho kila wakati na macho kua mekundu. tengeneza juice kama hii usitengeneze laini kupita kiasi v Muhim Pendelea kutumia mbogambalimbali za majani ili kutokomeza kabisa tatizo au matatizo mengi ya macho piautaimalisha afyayako kwa kiasi kikubwa nakujikinga na megonjwa mengine nyemelezi. Mambo yanayo pelekea mtu kupatamatatizo ya macho hivi sasaKunamambomengi sana ambayo humpelekea mtu kupatamatatizo ya macho, ugonjwa wa macho hujitokeza pasipomtukupanga au kutalajia jifunze mambo ambayo huachanzo cha ugonjwa wa macho, pasipokuzingatiahaya utajikuta unapatatatizola macho bila kutalajia.ü Kutazam au kuangalia TV,Computer au simu kwamda mrefu. Tumiakwaumakini vifaavya vya kitechnologia, mionzi au mwanga wa vifaahivi huasio salamasana kwa afya ya macho, vifaahivi huasili macho kidogokidogo siotatizo la hapokwahapo chakufanya usitumiemdamwingisana kwenyevifaahivi watuwengiwamekua wakijipatia kipato kupitia vifaahivi nakupitiwa wasiwaze mazalayake kumiavifaahivi kwamdaflani kisha pumzisha macho ikibidi ulalekabisa. ü Kutotumia matunda na mboga za majina kwamda mrefu. Mbogazamajani na matunda vinamadini navilutubishovingi mtuanapovikosa hupelekea upungufu wakingamwilini hivyo gonjwalolote linawezakunyemeleamwili nakukuasili vivyo tumiamatunda na mbogaza majani vimekuanamchango mkubwasana kwenye macho na mwilimzima kwaujumla, hivyo pendeleakutumia ili kujiepushanamatatizo ya macho. ü Kusoma vitabu au chapisho kwenye mwanga hafifu. Wangahafifu huasilisana macho, macho hutumiaanguvu kubwakusoma au kuangalia kitu kidogo sehemyenye mwanga hafifu vivyo vupelekea mishipaya macho kutanuka kwa kiasikikubwa nakupelekea macho kuayana susumbua unapokua kwenyemwanga wa kawaida. ü Mwanga au mionzi ya jua. Hii hutokea baadhiyasehem kunakuanamwanga wajua mkali kulikosehemnyingine kwamfano upondani lakini kunaupenyo unaopitisha mwanga wajua sehem ndogo nakua inakumulika usoni hii huletaasali zahalaka unapokua unatizamakitu mbeleyaulemwanga lakini hukionivizuli naunalazimisha kukiona mpaka unaweka mkono kwenyemacho yako. ü Kuingiwa namdudu ,mchanga au kituchochote machoni. Baaziyawatu hupikichasana macho wanapoingiwa na kitu machoni nakuyafanya macho kuanzakutokwa namachozi au kuamekundu. ü Matumizi mabaya ya vifaa vya kusafishia macho au vipodozi. Baadhi ya vipodozi vimeandikwa kwenyelebo usiyatumie ndaniya ngozi yaani kamaumechubuka sehemhio hupaswi kupaka nawengine hutumia mafuta mpaka yanawaingia machoni najicho nisehem ya ndani. Mtuanaweza kujikwangua na vifaavya kutengeneza kope nakuasili macho hasa wanawake. ü Kutumia vileo vikali kama vile bangi. Vileovikali vimekuanamazala sana kwenyeupande wa macho hii huasili sana mishipa ya macho hupelekea watumiaji wengi kua na macho mekundu. ü Msongo wa mawazo au kuachwa na mtu umpendae. Hii hutokea kwabaadhi ya watu ambao huana kawaida ya kulia au kutokwa machozi wanapokumbana natatizo kubwa hii hutokea sana kwawatu wenye asili ya upole. ü Kukosa usingizi kwa mda mrefu. Mtu anapokosa usingizi kwamdamlefu huasilisana macho naakili, mishipayamacho hutumianguvunyingi sana naunapokuja kupatausingizi unaweza kuamka ukiwa nauvimbe machoni au machokua mekundu. Jinsi ya kutatua/kuepuka matatizo ya macho muhim comment tiba yeyote asilia unayo faham hapochini ili kuwasaidia ndugu na jamaa wote wanao kuzunguka, duniani tunaishi kwa kusaidiana kwa mambomengi itakua vyema sana kwa kuacha comment yako ili kuwanufaisha wengine. mungupia atakusaidia katika mamboyako pia utajifunza kupitia comment za wayu nazitakusaidia sana katika maisha yako comment yako nimuhinsana kwawengine. |
1 Maoni
kazi nzuri
JibuFuta