Corona nivirusi vinavyo sambazwa au kuenezwa kwa njia ya hewa. Tanzania Virusi vya corona(COVID-19) Vimezuiliwa hivi sambamba na hayo Mambo muhim yanayofanya watanzania wasiasilike na ugonjwa wa korona corona niugonjwa unaohatalisha maishamengisana ya watu katika nchi tofautitofauti duniani nakukosa jinsi ya kukabiliananao. Tanzania hawaasilikisana kwakua wanazingatia haya,
Mbogaza majani zenye asli ya mikunde.nimboga zilizozoeleka
nchini humo aslimia kubwa hutumiambogahizi ikiwakama mboga zinazopatikana kwa
wepesi kuliko mboga nyibine nahua nagalama ndogosana ambayo kila mkazi anaweza
kuimudu bilashida yoyote. Nimbogaasilia yenye vilutubisho vingi vinavyo ongeza
kinga ya mwili dhidi ya magonjwa nyemelezi.
Matunda.matunda nivyakua vyenyemchango mkubwakatika mwili wa binadam, Nchini Tanzania kumekua naupatikanaji wa matunda mengi nawakazi wa nnchini humo wamejikitasana na biashala za matunda nawatumiaji wameongezeka kwa kiwangokikubwa sana wamekua wakiamini matunda ndio afya pia madaktali wengi nimadakitali wa tiba aslia, Tiba aslia nitiba yenye mashiko makubwa sana nawatu wanaipenda kwakua namatokeo mazuli nayahalaka.
mfano wa matunda |
Vyakula vya mafuta.nikama ulisi kutoka kwa mababu namabaku watanzania wengihupendelea kutumia vyakula vya mafta kama palachichi, kolosho, mawese na Kalanga. Licha ya baadhi ya vyakulavivi kupatikana kwashida baadhi ya sehem lakini wamekua wakijitahidi kutafta, vyakulahivi vinapendeka sana nawatanzania hasa Kalanga watanzania wengi hushindwakuvumilia hata kwasikumoja pasipo kutafuna Kalanga.
palachichi |
Vyakula vya nafaka. Vyakula hivi hutumiwa naidadi kubwa ya watu, huwajenga kimwili na kiakili ataukiangali kwaupande wa jeshi tanzania imekua najeshi bola africa kwavita ya chini hii inaonyesha nijinsigani vyakulavyao huwajenga kimwili. Vyakula kama mahindi yasio kobolewa hutumiwa kwawingi na mtama pia viazi vitam. Watanzania wachachesana kati ya 100% ni aslimia 10% ya watu wanao tumia vyakula vya viwandani.
mfano wa nafaka yaani Mahindi |
Mazoezi. Asilimia kubwa ya watanzania wengi hufanyamazoezi mfano mzuli mashuleni shulenyingi wanafunzi kabla ya kuingia dalasani hufanyamazoezi ya viungo ili kulainisha au kuyeyusha mafuta aliyo kwenye miili yao. Imekua nikama destuli kwa watanzania wengi kufanyamazoezi.
muhim comment tiba yeyote asilia unayo faham hapochini ili kuwasaidia ndugu na jamaa wote wanao kuzunguka, duniani tunaishi kwa kusaidiana kwa mambomengi itakua vyema sana kwa kuacha comment yako ili kuwanufaisha wengine.
mungupia atakusaidia katika mamboyako pia utajifunza kupitia comment za wayu nazitakusaidia sana katika maisha yako comment yako nimuhinsana kwawengine.
0 Maoni