Faham jinsi ya kutatua/kuepuka matatizo ya macho kwakutumiaa
matunda na mboga za majani kunasili kubwasana kwenyematunda na mbogatunazotumia
kilasiku pasipo kufaham.
Machonikiungo muhimsana katikamwili wa binadam chukuahatua
mapema.
kiungo muhim ambacho ukikikosa unaweza usitimize malengoyako.
Njiabola za
kutatua matatizo sugu ya macho
Njiahiipia itakuongezea uwezo mzuliwa kufikili pamoja nakuupa mwili
nguvu nitakufundisha hatuakwa hatua. Chakufanya andaa matunda yako yizuli yalio
olozeshwa hapo chini, matundayanayo tibu macho kwa asilimia mia nimatunda yenye
umbo kama jicho kwandani unaweza kutumia hatakabla ya kuugua ili kujikinga
nakujiepusha namatatizo haya
v Mahitaji
·
Kaloti
·
Nyanya
·
Papai/papaya
·
Mawese pendelea
kutumia mafuta ya mawese.
1.
maandalizi
chukua chombokisafi kisha chukua kaloti mbili au
mojakubwa kihaigawe katika vipande vidogovidogo piachukua nyanya nauigawe
hivyohivyo kisha changanya na kaloti nimatundayenye ngalama ndogo sana tengeneza vizuli kwakuzingatia usafi ilidawa
ifanyekazi vizuli kwenyemfumo wa
kachumali ilaikiwezekana changanya na papai/papaya, ilakama unabrenda changanya
vyote kisha usage.
2.
matumizi/jinsi
ya kutumia
utatumi matunda haya au juice hio asubuhi na jioni
hapoutaondokana na matatizomengi ya macho kama macho kutoamachozi,macho kuwasha,kufikicha
macho kila wakati na macho kua mekundu.
tengeneza juice kama hii usitengeneze laini kupita kiasi
v Muhim
mungupia atakusaidia katika mamboyako pia utajifunza kupitia comment za wayu nazitakusaidia sana katika maisha yako comment yako nimuhinsana kwawengine.
1 Maoni
kazinzulisana unamafundisho yanayo faa
JibuFuta