Mambo yanayo pelekea mtu kupatamatatizo ya macho
Kunamambomengi sana ambayo humpelekea mtu kupatamatatizo ya macho, ugonjwa wa macho hujitokeza pasipomtukupanga au kutalajia jifunze mambo ambayo huachanzo cha ugonjwa wa macho, pasipokuzingatiahaya utajikuta unapatatatizola macho bila kutalajia.ü Kutazam au kuangalia TV,Computer au simu kwamda mrefu. Tumiakwaumakini vifaavya vya kitechnologia, mionzi au mwanga wa vifaahivi huasio salamasana kwa afya ya macho, vifaahivi huasili macho kidogokidogo siotatizo la hapokwahapo chakufanya usitumiemdamwingisana kwenyevifaahivi watuwengiwamekua wakijipatia kipato kupitia vifaahivi nakupitiwa wasiwaze mazalayake kumiavifaahivi kwamdaflani kisha pumzisha macho ikibidi ulalekabisa.
ü Kutotumia matunda na mboga za majina kwamda mrefu. Mbogazamajani na matunda vinamadini navilutubishovingi mtuanapovikosa hupelekea upungufu wakingamwilini hivyo gonjwalolote linawezakunyemeleamwili nakukuasili vivyo tumiamatunda na mbogaza majani vimekuanamchango mkubwasana kwenye macho na mwilimzima kwaujumla, hivyo pendeleakutumia ili kujiepushanamatatizo ya macho.
ü Kusoma vitabu au chapisho kwenye mwanga hafifu. Wangahafifu huasilisana macho, macho hutumiaanguvu kubwakusoma au kuangalia kitu kidogo sehemyenye mwanga hafifu vivyo vupelekea mishipaya macho kutanuka kwa kiasikikubwa nakupelekea macho kuayana susumbua unapokua kwenyemwanga wa kawaida.
ü Mwanga au mionzi ya jua. Hii hutokea baadhiyasehem kunakuanamwanga wajua mkali kulikosehemnyingine kwamfano upondani lakini kunaupenyo unaopitisha mwanga wajua sehem ndogo nakua inakumulika usoni hii huletaasali zahalaka unapokua unatizamakitu mbeleyaulemwanga lakini hukionivizuli naunalazimisha kukiona mpaka unaweka mkono kwenyemacho yako.
ü Kuingiwa namdudu ,mchanga au kituchochote machoni. Baaziyawatu hupikichasana macho wanapoingiwa na kitu machoni nakuyafanya macho kuanzakutokwa namachozi au kuamekundu.
ü Matumizi mabaya ya vifaa vya kusafishia macho au vipodozi. Baadhi ya vipodozi vimeandikwa kwenyelebo usiyatumie ndaniya ngozi yaani kamaumechubuka sehemhio hupaswi kupaka nawengine hutumia mafuta mpaka yanawaingia machoni najicho nisehem ya ndani. Mtuanaweza kujikwangua na vifaavya kutengeneza kope nakuasili macho hasa wanawake.
ü Kutumia vileo vikali kama vile bangi. Vileovikali vimekuanamazala sana kwenyeupande wa macho hii huasili sana mishipa ya macho hupelekea watumiaji wengi kua na macho mekundu.
ü Msongo wa mawazo au kuachwa na mtu umpendae. Hii hutokea kwabaadhi ya watu ambao huana kawaida ya kulia au kutokwa machozi wanapokumbana natatizo kubwa hii hutokea sana kwawatu wenye asili ya upole.
ü Kukosa usingizi kwa mda mrefu. Mtu anapokosa usingizi kwamdamlefu huasilisana macho naakili, mishipayamacho hutumianguvunyingi sana naunapokuja kupatausingizi unaweza kuamka ukiwa nauvimbe machoni au machokua mekundu.
Jinsi ya kutatua/kuepuka matatizo ya macho
muhim comment tiba yeyote asilia unayo faham hapochini ili kuwasaidia ndugu na jamaa wote wanao kuzunguka, duniani tunaishi kwa kusaidiana kwa mambomengi itakua vyema sana kwa kuacha comment yako ili kuwanufaisha wengine.
mungupia atakusaidia katika mamboyako pia utajifunza kupitia comment za wayu nazitakusaidia sana katika maisha yako comment yako nimuhinsana kwawengine.
4 Maoni
fact 🙌🏾 asante sana kwa ushauli
JibuFutaUko vizul mzee baba
JibuFutamaumivu ya misuli. msongo wa mawazo humfanya mtu kuhisi maumivu ya misuli kwenye miili yao. watuwengi huwa wanapuuzia mambo yanayo ikumba miili yao hata akiisi kichwa, tumbo linauma anaagiza dawa za maumivu maumivu yakipungua unaendelea na shuguli zake za kawaida pasipo kujua chan zo ni nii cha yeye tumbo kuuma au tumbo kuuma. nimhimsana kujua maendeleo ya mwiliwako kwa aslimia kubwa usiishi kwa kukalili epuka mambo hayo kwasasa katike kaline yetu ya ishilini na moja magonjwa ni mengisana na kilasiku yanaongezeka.
JibuFuta#kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa nakukosa nguvu za kulimudu tendo. hisia za mtu mwenye msongo wa mawazo hupanda halaka pia hupotea halaka. watu wa aina hii hisia hupotea punde mwenzi wake, mpenzi anapokua kalibu nae akihitaji wafanye kitendo hicho mwanaume anoweza kushindwa ata kusimamisha uume wake kwa mda huo au unasimama badae una lala tena(kusinyaa) kitu hicho huwakela wana ume nakuwafanya wasifrahie kitendo hicho. tatizo hilo humfanya mwanaume kushindwa kumudu tende la ndoa yaani mwanaume kuwahi sana kuchoka kabla ya mwanamke kuridhika na tendo.
#kukosa nguvu za kiume na hamu ya kujamiiana. tatizo hilo humfanya mwanaume kushindwa kumudu tende la ndoa yaani mwanaume kuwahi sana kuchoka kabla ya mwanamke kuridhika na tendo. wakati mpenzi anapokua kalibu nae akihitaji wafanye kitendo hicho mwanaume anoweza kushindwa ata kusimamisha uume wake kwa mda huo au unasimama badae una lala tena(kusinyaa) kitu hicho huwakela wana ume nakuwafanya wasifrahie kitendo hicho.
#kua na hasira. watu wenye msongo wa mawazo huwa nahasila sana za gafla. mtu mwenye msongo wa mawazo anapokua ametulia pekeake hua hataki bugza nahii hua kama kawaida yake mda mwingi hujitenga nakukaa pekeake utakapokua unashida nae ukimuita au ukitaka kuzungumza nane hua anajibu kwa ukali nayeye kuisi kama wewe nimsumbufu na anaweza akakuchukia gafra tu.
shukulan
JibuFuta